Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,944
- 6,777
Wakuu heshima mbele.Nina kilaptop changu,kimeniletea matata.Jana wakati najaribu kuinstall AVG antivirus,ikaonesha kama mistari mistari kwenye screen halafu ikaacha kudisplay
Nikaizima nikaiacha..Nilipojaribu kuiwasha ikawa inaprepare automatic recovery halafu inaleta options flani kabla sijazisoma inakuwa tena black
Kwa sasa nikiiwasha inaishia kuwa black screen,ila feni,taa za pembeni na za huku nyuma ya screen zinawaka kama kawaida
Naomba msaada wakuu,napatikana Dar Es Salaam
CC: mwl RCT snipa na wakuu wengine

Last edited by a moderator: