miren farady
Member
- Oct 3, 2018
- 33
- 9
nasikia kua Udsm mwaka wa kwanza hostel ni lazima.wadau hivi ni kweli?
hadi inazidi tuition fee.meals and accommodation ni 1.785,000 ni kubwa ya mwaka huu dah
Daa unachanganya mambomeals and accommodation ni 1.785,000 ni kubwa ya mwaka huu dah

nitumie no yako ya whatsap nikutafuteDaa unachanganya mambo![]()
![]()
![]()
![]()
Meals and accomodation huwa ni zaidi ya hiyo pesa nikama mil 2+, hiyopesa utapewa yote na bodi ya mkopo kwenye acc yako kwa awamu, pia hostel udsm mabibo utalipia 71000 tu. Pesa iliyobaki utakula bata ,plus nyingine laki mbili utapatiwa ya books and stationary yayo utaipiga ,yaani chuo mambo ni moto.meals and accommodation ni 1.785,000 ni kubwa ya mwaka huu dah
71,000 au 710,000 Mkuu?Meals and accomodation huwa ni zaidi ya hiyo pesa nikama mil 2+, hiyopesa utapewa yote na bodi ya mkopo kwenye acc yako kwa awamu, pia hostel udsm mabibo utalipia 71000 tu. Pesa iliyobaki utakula bata ,plus nyingine laki mbili utapatiwa ya books and stationary yayo utaipiga ,yaani chuo mambo ni moto.
Nimekutumia pm bronitumie no yako ya whatsap nikutafute
Bro weka no nikucheki whatsap71,000 au 710,000 Mkuu?
No mabibo Ni 73,000Meals and accomodation huwa ni zaidi ya hiyo pesa nikama mil 2+, hiyopesa utapewa yote na bodi ya mkopo kwenye acc yako kwa awamu, pia hostel udsm mabibo utalipia 71000 tu. Pesa iliyobaki utakula bata ,plus nyingine laki mbili utapatiwa ya books and stationary yayo utaipiga ,yaani chuo mambo ni moto.
wakati mnakula hizo pesa raha sana miguu juu mkianza kukatwa wanakuja hapa wanalilia na kulalamika,Meals and accomodation huwa ni zaidi ya hiyo pesa nikama mil 2+, hiyopesa utapewa yote na bodi ya mkopo kwenye acc yako kwa awamu, pia hostel udsm mabibo utalipia 71000 tu. Pesa iliyobaki utakula bata ,plus nyingine laki mbili utapatiwa ya books and stationary yayo utaipiga ,yaani chuo mambo ni moto.
Mara paap unaweka namba akat huko nyuma ushawahi kumdisi jiwe kumbe ni wazee wa suti nyeuc wanakuwindaBro weka no nikucheki whatsap
Mara paap unaweka namba akat huko nyuma ushawahi kumdisi jiwe kumbe ni wazee wa suti nyeuc wanakuwinda