Habari wana jf.. leo pita pita zangu playstore... nikiwa natafuta apps fulani kwa ajili ya simu yangu nikakutana
na torrents...
Bittorrent
Utorrent
Na zingine,,
Nikawa inspired nikajaribu kudownload moja...
Naona matumizi yake bado sijaelewaa...
Je ni kweli zinafanya kazi...?
yah zinafanya kazi vizuri tu...Niliipakua juz na kuitumia...
Ukishadownload app(mfano utorent)...unaingia kwenye website ya kudowload torrent files and media...then unadownload hilo file(haizid hata dk 1 inamaliza) then unapotaka kufungua litakudirect moja kwa moja kwenye torrent app yako then utaclick add (kwa u torrent) na itaanza kudownload...
Niliitumia kudownloadia movie,San Andreas Quake...
@MGuccl
pouwa pouwa mkuuuu.....
lakini ukiingia kwenye hizoo site zinazokubali torrents inatakiwa nisitumie operamini.. coz nimejaribu kutumiaa operamini naona imezingua.. au nitumie browser ya simu...
Yah jaribu kutumia browser nyingine...Binafsi nilitumia Browser ya simu na UC Browser...
doooh inafanya kazi vizuri mkuuu... i appreciate.... nimetumia browser ya simu....
now nataka nijiunge ma usiku pack.... ni enjoy the night....
thanks mkuuu...