msaada kuhusu hii simu

msaada kuhusu hii simu

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,179
hii simu ni tecno juu ya cover imeandikwa camon..
ndani kwenye about phone imeandikwa tecno c 9
ila nikiingia net au nikiichomeka kwenye pc inasoma
tecno J8

je tatizo liko wapi?
na je nikitaka kuroot nitumie software ipi?
nikijibiwa itapendeza zaidi.
 
Subiri waje, mambo ya wachina bhana ni ujanja ujanja tupu
 
lakini kwanza i boot download mode uweze kuhakiki model, usije ukauwa simu....asante
kwenye samsung download mode huonyesha model kamili ya simu yako kwenye tecno aend about my phone kusoma tofauti haina shida ni drivers huwa zinadanganya japo zinaiona simu
 
Tumieni iPhone na Samsung jamani.

Tuache kupenda urahisi na ujanja-ujanja.
 
Back
Top Bottom