Msaada kuhusu hii kozi Library and information management

Course zingine ni sawa na suicide Bomb[emoji28][emoji28]
 
Ajira zake ngumu sana wengi waliomaliza hii wapo mtaani au wameshikiza mahala Nje na fani husika


Mkurugenzi mstaafu wa library tanzania Dr ally baada ya kustaafu kaomba kazi kaajiliwa kama mkutubi vijana wanamuangalia wanalia tu


Sokoni lake la ajira sio kubwa kabisa Labda uwe na akili ya ziada sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…