msaada kuhusu hi kozi

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Habar wana jf kuna kozi inaitwa theater and film art ningependa kuifahamu zaidi kwa upana ina husu nini,changamoto zake faida na ajira yake kwa tanzania
 
Hizi Course za Sanaa ya Uigizaji, Filming na Multmedia creations. Kama una kipaji nenda. Au kama unataka kuwa mtaalamu pia nenda. Kuhusu ajira, Nadhani ni sector binafsi na kujiajiri kwa sana.
 
Kwa apa bongo ni vyuo viwili tu vyenye i kozi udsm na udom vyuo vingine Amna?
 
Kwanza kabisa ni moja ya kozi nzuri kwa kujiajiri. Wengi watakucheka leo lakin siku ukianza kupokea tenda ndio watakuelewa. Kama unaweza kasome ile ya udom inaitwa multimedia kama sikosei. Ile utasoma mpaka mambo ya IT humo ndani.
 
Asante cana wadau udom pale i kozi ni nzur
 
Kwanza kabisa ni moja ya kozi nzuri kwa kujiajiri. Wengi watakucheka leo lakin siku ukianza kupokea tenda ndio watakuelewa. Kama unaweza kasome ile ya udom inaitwa multimedia kama sikosei. Ile utasoma mpaka mambo ya IT humo ndani.
Unachanganya madesa udom wanayo film and arts , pia wanayo multimedia ni kozi ya IT hiyo inahusu production tu kama vile animation , game designing , audio recording , video editing , na mengine mengi
 
Kwaio io multimedia aiko ndani ya io kozi ya thearter and film au
Unachanganya madesa udom wanayo film and arts , pia wanayo multimedia ni kozi ya IT hiyo inahusu production tu kama vile animation , game designing , audio recording , video editing , na mengine mengi
 
Kwaujumla i koz inausu nn na ndan yake unasoma nini naomben mnielewesh vzr wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…