Zamani walikua wanarudisha, tena walikua wanazitoa kwa mkupuo. Wahusika walikua wanasumbua sana zikitema. Sijajua sahivi utaratibu upojeHavari wakuu
Je ukipata mkopo ukiwa mwaka wa pili na ulishajilipia Ada tangu mwaka wa Kwanza.
Je una haki ya kurudishiwa gharama ulizotumia mwaka wa Kwanza na wapili?
Kwa kumbukumbu zangu mpaka mwaka jana kama mtu yupo let's say mwaka wa pili na akaappeal na kupata mkopo, pesa za miaka yote kama walizokua wanachkua wenzake zilikua zinatoka kwa mkupuo. Ila kwa case ya ada kama pale ud huwa wanatakaga ukishamaliza chuo ndo uanze kuprocess refundAsante mkuu,ngoja nisubiri wenye uzoefu wa hapa karibuni
Asante mkuuKwa kumbukumbu zangu mpaka mwaka jana kama mtu yupo let's say mwaka wa pili na akaappeal na kupata mkopo, pesa za miaka yote kama walizokua wanachkua wenzake zilikua zinatoka kwa mkupuo. Ila kwa case ya ada kama pale ud huwa wanatakaga ukishamaliza chuo ndo uanze kuprocess refund
Pamoja sana mkuu. Ila fanya ucheki kwanza na loan officer wa chuo chako, atakupa muongozoAsante mkuu