Heshima yenu wakuu wa Jf
Ninaomba msaada wa kufahamishwa. Je iwapo unataka kusafiri nje ya nchi na mtoto wako wa umri wa kati ya miaka miwili na kumi na mbili, utahitaji doumenti zipi ili aweze kuruhusiwa kusafiri? Je umri huu wanatakiwa kuwa na passport? Kama sivyo, je ni vielelezo vip utahitaji badala ya passport? Safari yenyewe ni kwenda SA. Ushauri tafadhali.