Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Asante sanaaa mbona na sikia hadi kuna generation ya 10 au inakuwaje hapoPc nyingi tunazotumia miaka hii ni Generation ya nne, japo 5th generation nazo zipo .Hizi ni zile zenye uwezo wa kujibu kutokana na natural language input utakayoipa .
Asante sana nimejuaNi vile hujui tuu. Sio kosa lako.
Hiyo Pc ni Generation ya 4.
Au mnasemaje mods
Ni kweli mkuu.. mimi mwenyewe niko generation ya saba sasaAsante sanaaa mbona na sikia hadi kuna generation ya 10 au inakuwaje hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tuko kwenye 9 generation, japo bongo tume kwenye 7 na 8 kidogo
Nadhani tuko kwenye 9 generation, japo bongo tume kwenye 7 na 8 kidogo
Generation niliyokuelezea ni inayohusiana na historia ya kompyuta toka kwenye uvumbuzi wake mpaka sasa.Asante sanaaa mbona na sikia hadi kuna generation ya 10 au inakuwaje hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Generation niliyokuelezea ni inayohusiana na historia ya kompyuta toka kwenye uvumbuzi wake mpaka sasa.
Upande mwingine ni generation ya processor inayounda kompyuta yako.Hii unaiona pale Kwenye specifications za processor yako .Unaangalia tarakimu inayofuata baada ya neno kwa mfano core i5 .
Yani corei5 2432, tarakimu inayofuata baada ya i5 ni 2 hivyo processor yako ni 2nd generation.
Sikujua kama ni hiki unauliza.