Tafuta kiwanja kizuri nunua, ndani ya mwaka mmoja thamani itakuwa imeongezeka kwa zaidi ya 50%, yaani kama umenunua kwa 10m, baada ya mwaka unaweza kuuza kwa zaidi ya 15m. Achana na hizo fixed account za bongo ni miyeyusho tu, maximum interest unayoweza kupata kwenye fixed account ni 12% p.a wakati wenyewe bank wanakopesha kwa riba ya 20% na zaidi. Kifupi ukiweka hela kwenye fixed account inakula kwako, hiyo riba kidogo wanayokupa haiwezi hata kucover mfumuko wa bei.