Msaada kuhusu E-mail kugoma ku send

pilu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2011
Posts
488
Reaction score
43
Habari wana jf ,
E mail yangu inawiki sasa kila niki send ujumbe kwa mtu inagoma na kuniletea maelezo ambayo hayasaidii kuondoa tatizo.
MSAADA WAKUU!
 
Email gani hiyo mkuu? Application gani? Operating System gani? Ongeza maelezo kidogo ili tujue tunakusaidiaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…