Nawashkuruni sana waungwana kwa ushauri na msaada wenu wa mawazo, for at least now i got a clue about best brands + their price ranges ..., thanks much indeed!
Na sasa wanajamvi, mimi niko Arusha, je ni wapi naweza pata genuine brands? maana i'm worried nsije nkaingizwa town, maana mimi si mwenyeji sana Arusha, na kwa taarifa nilizonazo naskia hapo ndani ya 'Ungalimi' kama wenyewe wenyeji wavyokuita eti kila aina ya bidhaa uiwazayo kichwani jamaa washachakachuaga brands zamani sana, 'mchina' ni mwanafunzi, tena wa form 1 !!