Smart gangster
Member
- Jul 19, 2016
- 8
- 0
Diploma Zote zimeandikwa. Ordinary diploma in primary education in service na nyengine imeandikwa kama ivo but mwishoni ni pre service swali ipi ni ya shule ya sekondari wanajamii for
Kimya pia ni jibu.pengine hatujui.lakin endelea kusubir labda watakujawanaojua.usichoke mkuuDah! Wadau naona hkn ushirikiano ata kidogo
Nimekujibu tayari.Dah! Wadau naona hkn ushirikiano ata kidogo
Hiyo higher haipo siku hizi,wahitimu wa mwisho kwenye vyuo vya serikali ni wale waliomaliza may mwaka jana.sasa vyuo vyote sasa vinadahili hizo za primary1.Ordinary Diploma in Primary Education unasomea ualimu wa shule za msingi.
2.Higher Diploma in Secondary Education unasomea ualimu wa shule za sekondari.
Ukikosea inakula kwako.
chanzo cha habari mkuu / uthibitisho zisje zkawa story za vijiwenHiyo higher haipo siku hizi,wahitimu wa mwisho kwenye vyuo vya serikali ni wale waliomaliza may mwaka jana.sasa vyuo vyote sasa vinadahili hizo za primary
Kumbe,vp NACTE wameonesha vyuo pia?1.Ordinary Diploma in Primary Education unasomea ualimu wa shule za msingi.
2.Higher Diploma in Secondary Education unasomea ualimu wa shule za sekondari.
Ukikosea inakula kwako.
Ahsante sana ndugu. Pia vp kuhusu nacte mbona CAS inasmbua sana ktk kutuma maombiHiyo higher haipo siku hizi,wahitimu wa mwisho kwenye vyuo vya serikali ni wale waliomaliza may mwaka jana.sasa vyuo vyote sasa vinadahili hizo za primary
sifaham chochote kuhusu application za mwaka huu,maana mimu sio mlengwaAhsante sana ndugu. Pia vp kuhusu nacte mbona CAS inasmbua sana ktk kutuma maombi