Habari wanajamvi Mimi nahitaji kujiung na chuo cha SaUT mwanza ngazi ya diploma....swali langu je? Ni kozi ipi nzuri kwa Sasa katika soko la ajira maana cheti nilisoma community development HOMBOLO dodoma,,,nahofia kuendelea nayo sababu ajira zake Sina hakika Kama zinaptikna kwa urahisi.....mnisaidie coz ipi nzuri au niendelee na hii 2