Wakuu!! Mimi ni mhitaji mwingine Ninaomba. Msaada wenu, siku za nyuma nilikuwa natumia simu aina ya samsung galaxy s3, na ilikuwa imesheheni vitu vyangu kibao nilivyovipenda sana, ile simu ilikuja kufa kabisa! Beyond repair,kwa sasa natumia BlackBerry Q10, nimejaribu kutafuta njia ya kuyarudisha ma faili yangu yaliyokuwa kwenye hiyo Android device lakini nimekwama!! Msaada please.