Msaada kuhusu chuo cha mifugo

Msaada kuhusu chuo cha mifugo

yongpal

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
38
Reaction score
14
Habarini za jioni wapendwa ,, tumaini langu wazima Wa afya ,, kama kichwa kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba msaada juu ya vyuo vya mifungo na sifa ya kujiunga na hivyo vyuo matokeo Haya hapa ya ndugu yangu chemistry C biology C geography C English C jumla ana point 24 necta yake maana hautaki kusoma ualimu na kama kuna kozi nyingne nzur ambayo inaweza kumsaidia nisaidien nimwambie asante.
 
Kwanini asiende advance au anahisi atapishana na hela
 
Habarini za jioni wapendwa ,, tumaini langu wazima Wa afya ,, kama kichwa kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba msaada juu ya vyuo vya mifungo na sifa ya kujiunga na hivyo vyuo matokeo Haya hapa ya ndugu yangu chemistry C biology C geography C English C jumla ana point 24 necta yake maana hautaki kusoma ualimu na kama kuna kozi nyingne nzur ambayo inaweza kumsaidia nisaidien nimwambie asante.
Huo ualimu ndo huwa wanaenda kwa ufaulu huo mkuu?
 
Kijana hataki advance kabisaa
Muwe mnawashauri kwanza vijana sio kila wanachohitaji ni sahihi, lazima ujue sababu kwanini hataki ualimu wala advance!! any way japo hujatuambia physics kapataje ila kama kapata c na math hajapeperusha bendera mpeleke dodoma akasome diploma ya mining chuo cha serikali
 
Daa mkuu physics na math alipata zote F hizi kwan hawez kusoma mining pasipo hizo credit
 
Kwa hicho cha dodoma entry qualifications ni C flat kwenye masomo ya sayansi bila mswaki wa math kwa sababu ni cha serikali sasa vyuo vingine sijui.. Hapo akasome afya au kilimo na mifugo kama hatajali
 
Daa mkuu physics na math alipata zote F hizi kwan hawez kusoma mining pasipo hizo credit
Nimejaribu kupekuwa vyuo vya mifugo chini ya wakala wao LITA, nikapata vyuo kama tengeru, mpwapwa, morogoro, madaba, mabuki na kikulula ambavyo vyoote akiomba kwa alama alizonazo atachaguliwa.. Vigezo vyao ni lazima awe amefaulu masomo mawili ya sayansi kiwango cha chini kiwe D pamoja na masomo mengine mawili ukiacha dini na upishi!
Kwa kuwa amemaliza kidato cha nne, anaruhusiwa kusoma ngazi ya cheti (certificate /NTA level 4) katika kozi mbili tu
1.certificate in animal health and production (CAHP)
2.certificate in veterinary laboratory technology (CVLT)
Mtachagua moja kati ya hizo, kwa maelezo zaidi kuhusu fomu pamoja na gharama tembelea www.lita.go.tz
Kama atapenda changamkieni fursa
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hapa uyole - mbeya kuna chuo safi sana cha kilimo na mifugo.
Ni wabobezi wa utafiti na uzalishaji wa mbegu mlete apambane na baridi
 
Nitafutie dogo moja hapo wakuitwaga Muksin Mohammed Babu, CGA second year
 
Back
Top Bottom