Msaada kuhusu cheki za bank


nakwambia from experience. cheque books za savings account zipo na ni 'open' unless u decide to cross! savings accounts za CRDB zinaanza na 01J2, 02J2, 03J2. for TZS, USD, and EUR respectively, current accounts zinaanza na 01J1, 02J1, 03J1 kwa mfumo wa zamani.

kuhusu personal current account hata CRDB zipo, 01J1, 02J1, 03J1
 

Mhhh that is totaly new for me for really,labda kuna branch na branch zinazotoa hizo huduma kwa crdb in particular kwa hizo benki nyingine sina uhakika
 
Mhhh that is totaly new for me for really,labda kuna branch na branch zinazotoa hizo huduma kwa crdb in particular kwa hizo benki nyingine sina uhakika

bank nzima inafanya hivyo. ni arrangements tu. ni kama zile kadi zao za gold zinazotoa mpaka 3M kwa siku wakati kadi za kawaida ni 1M,
 
Jamani Mimi tatizo langu ni kuwa kuna mtu namdai milioni nne na alitakiwa kunipa toka tarehe 28 mwezi wa pili ila toka hiyo siku ananiambia cheki inasumbua anasema kuwa cheki iliandikiwa CRDB na pesa anaenda kutoa NBC sasa NBC ndio wanamsumbua na walimpa siku tatu na amefuatilia bila mafanikio sasa Leo ameniambia amekwenda benki kuu je ili suala la keshi kuna ukweli wowote mwenye ufahamu wa hii ishu anisaidie tafadhari
 
Umepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…