umefanyajeM nmefkia kiwango cha kukopa 100000
mkuuu asante kwa ushauriWatembelee ofisini kwao, kama hawana Ofisi anza kujenga wasiwasi,
Katika process za mkopo wanafanyaje?
Zaidi ujue tupo kipindi Kibaya , pesa hamna kabisa, wizi na utapeli hasa mitandaoni umeongezeka