Msaada kuhusu bodi ya mkopo

Msaada kuhusu bodi ya mkopo

empressu

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
38
Reaction score
1
wakuu nikilogin kwny page yangu heslb naambiwa my application is ready for submission ni print completed form na wakati nilishaprint zamani na kusubmitt je kuna tatizo naomba wenye ueleewa mnisaidie...
 
Ha ha ha.

Hiyo account ilishaisha kazi yake muda mrefu.Now ni ile fomu uliyotuma
 
wala usiogope kila mtu ipo ivyo
 
asanteni nishasema uckute ni mm mwnyw aya mambo hayatbrk duuh
 
wakuu nikilogin kwny page yangu heslb naambiwa my application is ready for submission ni print completed form na wakati nilishaprint zamani na kusubmitt je kuna tatizo naomba wenye ueleewa mnisaidie...

KIKOOZI, Wewe hata kama ubadilishe ID akili zako zile zile watu watakujua tu
 
Back
Top Bottom