Msaada kuhusu blackberry yangu

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
138
Nina simu aina ya Blackberry torch 9800. Nina wiki mbili toka niinunue.

Naambiwa simu za aina hii zinaonesha ramani ya mahali ulipo, ukiwa kwenye gari inakupa speed ambayo dreva anatembea na gari, Nimeweka laini ya tigo nigependa niitumie ipasavyo viongozi.

Naomba mnielekeze zaidi ya hivyo. Napokea na kupiga tu. JF naingia kupitia PC yangu.

Mdanganyika.
 
I think I had that phone, Swala la sped ni uongo halina connection kabisa, ila yaweza kuwa na ramani ika mark kukuonyesha unapoelekea! That is what I know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…