Si sahihi sana.Makampuni ya bima huwa hayataki kudeal na wateja moja kwa moja. Kwa hiyo ukienda kwenye kampuni moja kwa moja utapigwa rate kubwa kuliko ukienda kwa dalali (broker) au wakala (agent).
We unaongelea road lisence ambayo tayari imefutwa.Mkuu commercial zina rates zake tofauti.
Third party hawaangalii cc za gari tena kama zamani. Kwa sasa third party kwa private cars ni Tsh. 100,000 plus 18% VAT ko jumla inakuwa Tsh 118,000.
Mkuu kwenye kuthaminisha gari inaweza kuwa tatizo baadaye. Inaitwa disclosure of material fact. Ukitaja thamani ndogo inaweza kuwa tatizo hasa kama una 'comprehensive insurance'We unaongelea road lisence ambayo tayari imefutwa.
Bima haihusiani na cc za gari kabisa tena kwenye bima wewe ndiye waweza thamanisha gari lako mwenyewe
Yah hilo ni kweli ilishawahi kumtokea ndugu yanguMkuu kwenye kuthaminisha gari inaweza kuwa tatizo baadaye. Inaitwa disclosure of material fact. Ukitaja thamani ndogo inaweza kuwa tatizo hasa kama una 'comprehensive insurance'
Yah hilo ni kweli ilishawahi kumtokea ndugu yanguMkuu kwenye kuthaminisha gari inaweza kuwa tatizo baadaye. Inaitwa disclosure of material fact. Ukitaja thamani ndogo inaweza kuwa tatizo hasa kama una 'comprehensive insurance'
Bora katika hili Mtu aombe valuationYah hilo ni kweli ilishawahi kumtokea ndugu yangu
Tatizo ni sera ya bei. Nilienda kwa wakala akasema 3% nikaenda kwenye kampuni ya bima ikasema 5%. Ndo nikapata picha kuwa wanaachiana majukumu. Mteja unafukuzwa kidiplomasia kwa tofauti ya bei.Si sahihi sana.
Makampuni ya Bima yanapenda pia Wateja directly kwa sababu wanapata 100% profit tofauti na kupitia kwa broker au agent inabidi watoe 10%- 20% commission
Makampuni ya bima huwa hayataki kudeal na wateja moja kwa moja. Kwa hiyo ukienda kwenye kampuni moja kwa moja utapigwa rate kubwa kuliko ukienda kwa dalali (broker) au wakala (agent).
Mkuu kwenye kuthaminisha gari inaweza kuwa tatizo baadaye. Inaitwa disclosure of material fact. Ukitaja thamani ndogo inaweza kuwa tatizo hasa kama una 'comprehensive insurance'
Tatizo ni sera ya bei. Nilienda kwa wakala akasema 3% nikaenda kwenye kampuni ya bima ikasema 5%. Ndo nikapata picha kuwa wanaachiana majukumu. Mteja unafukuzwa kidiplomasia kwa tofauti ya bei.
Ukitaka kukata comprehensive insurance kwa gari binafsi rate ni 3% ya thamani ya gari lako + kodi. Rate ya gari la biashara ni tofauti na gari binafsi.
Wewe ulikua unakatia gari binafsi au la biashara?