Mahamud_2000
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 200
- 99
Nijuavyo mimi rates zilikuwa revised tangu tarehe 01 August 2015, na rate kwa gari binafsi ni 3.5% ya thamani ya gari plus 18% VATGari binafsi ni 3% ya thamani ya gari plus VAT[18%] kwa mwaka....kama gari ni 20m then inakuwa 20,000,000*3%*1.18=708,000 per year.
Asantr kwa kunifahamishaSina uhakika kama wanaangalia thamani halisi ya gari ila nijuavyo mimi wanatumia CC. ya gari ku determine malipo halisi ya bima ya gari husika.
Asantr sana mdauGharama za bima zinaendana na matumizi ya gari lako. Je ni kwa ajili ya matumizi binafsi ama biashara? Na kama biashara, je ni la kubeba mizigo au abiria?
Well,mara ya mwisho nililipia bima 3% february 2015....3.5% ni commercial rate like rental carsNijuavyo mimi rates zilikuwa revised tangu tarehe 01 August 2015, na rate kwa gari binafsi ni 3.5% ya thamani ya gari plus 18% VAT
Nashukuru sanaNijuavyo mimi rates zilikuwa revised tangu tarehe 01 August 2015, na rate kwa gari binafsi ni 3.5% ya thamani ya gari plus 18% VAT
Karibu sana. Ila kwa ushauri zaidi kama unahitaji bima ni vizuri zaidi ukaenda kwenye ofisi ya agent, broker ama kwenye kampuni ya bima moja kwa moja. Achana na bima za uchochoroni kwa mtu ambaye hana hata ofisi, wengi wameuziwa bima feki, na ufeki wake unajulikana pale unapokuwa umepatwa na tatizo.Nashukuru sana
Kwa sasa ni 3.5%plus vat, whether commercial or private ila ni lazima useme matumizi yake.Well,mara ya mwisho nililipia bima 3% february 2015....3.5% ni commercial rate like rental cars
Kwa sasa ni 3.5%plus vat, whether commercial or private ila ni lazima useme matumizi yake.
Kwa third party wanaangalia cc
Mkuu hii itakuwa ni malipo ya Road licence ndiyo wanaangalia CC ya gari.Sina uhakika kama wanaangalia thamani halisi ya gari ila nijuavyo mimi wanatumia CC. ya gari ku determine malipo halisi ya bima ya gari husika.
Anyway ngoja niulize maanake yangu inaisha 16 mwezi huu.....But im sure nitapata 3% tu.Kwa sasa ni 3.5%plus vat, whether commercial or private ila ni lazima useme matumizi yake.
Kwa third party wanaangalia cc
Tira wanakataza undercutting kwenye soko. Ukipewa kwa 3% jua wamevunja sheria na kama unapita kwa broker au agency usije kushangaa wakati wa claim insurer analeta figisuAnyway ngoja niulize maanake yangu inaisha 16 mwezi huu.....But im sure nitapata 3% tu.
Mh sijui,nimewapigia sasa hivi kilichoongezeka ni VAT tu meaning 3% imebaki vile vile.Tira wanakataza undercutting kwenye soko. Ukipewa kwa 3% jua wamevunja sheria na kama unapita kwa broker au agency usije kushangaa wakati wa claim insurer analeta figisu
Unadeal na agent, broker au directly na kampuni ya bima?Mh sijui,nimewapigia sasa hivi kilichoongezeka ni VAT tu meaning 3% imebaki vile vile.
Broker.Unadeal na agent, broker au directly na kampuni ya bima?
Makampuni ya bima huwa hayataki kudeal na wateja moja kwa moja. Kwa hiyo ukienda kwenye kampuni moja kwa moja utapigwa rate kubwa kuliko ukienda kwa dalali (broker) au wakala (agent).Tira wanakataza undercutting kwenye soko. Ukipewa kwa 3% jua wamevunja sheria na kama unapita kwa broker au agency usije kushangaa wakati wa claim insurer analeta figisu