Kuna maduka kadhaa mkoani Kilimanjaro(Moshi Town), Arusha na Dar yanauza Popcorn Machine mpya kabisa kwa Tsh.350,000/= tu. Kwa Dar fika Clocktower kuna duka kubwa sana la vifaa vya umeme na wakala wa Panasonic anazo machine hizo kwa bei nafuu zaidi around laki tatu mpaka tatu na nusu.