Msaada kuhusu bachelor of science in physics

Msaada kuhusu bachelor of science in physics

sama salim

Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Naomba mnijuze juu ya hii course kwa hpa TZ ina maslahi na ajira zake zinapatikana?
 
Naomba mnijuze juu ya hii course kwa hpa TZ ina maslahi na ajira zake zinapatikana?

Physics=mechanics=foundation of engineering!! Inshort kama umeipenda hutojuta.

Kwenye hiyo kozi hutasoma physics tu!! Wengi watakwambia mwisho ni ualim. Kama ukitaka ualimu utapata ila haiko limited kwenye ualimu tu.
 
Usibweteke kijana na maneno ya watu..ww kama unapenda physics kasome kaka ajira zipo...cha msingi ni kukutana na watu wenye uzoefu wa hiyo course...najua utakuwa na ndoto ya kuwa engineer hapo mbeleni..bas ujue hiyo ndo ticket yako..kwa information zaidi check m #0652501314
 
Back
Top Bottom