ACTIVIST13
Member
- May 26, 2018
- 13
- 16
Habari?
Naomba anaeifahamu kozi hii vizuri anieleweshe juu ya soko lake, usomaji wake na pia je namna gani inaweza kuwa msaada kama mtu alieisomea akikosa ajira ni hayo tu kwa uchache