Bila shaka umechaguliwa Mzumbe.
Soko lake la ajira lipo, unakua na uwanja mpana wa kuchagua pa ku specialize (Database, data warehousing, maintenance, programming, security, etc)....
Ila graduates wake wengi naona wakitoka hapo direct wanajiajiri, hawapendagi kuajiriwa. Hiyo ni advantage ingine... (Mimi mmojawapo)
Nenda shule kakaze.... Utasoma hesabu mpaka ufurahi kama huzipendi
Karibu kwenye ulimwengu wa digitali