Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 277
- 113
AVN huwa inatolewa muda wowote hata kama sio muda wa kuomba chuo mkuu labda kama kuna sehemu amekosea kujaza taarifa zakwMkuu subiri kwanza had applications za chuo wafungue ndo upate AVN NUMBER. Vuta subra!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila nlichomaanisha mm zaid ni kwamba wakifungua dirisha la kuomba vyuo ndo achukue hyo AVN, sababu hata akichukua now haina ishu ni sawa na bureAVN huwa inatolewa muda wowote hata kama sio muda wa kuomba chuo mkuu labda kama kuna sehemu amekosea kujaza taarifa zakw
Hapo huwezi kupata AVN kijanaNdo iko hivyo bt nikiomba avn inagoma
NdioHii process ya kuomba AVN via NACTE unaweza kutumia simu..?
Ushawahi kuparactice hii mkuu..?Ndio
NdioUshawahi kuparactice hii mkuu..?
Na huwa kuna mahitaji gani au documents gani zinazohitajika kutoka kwa mwombaji..?Ndio
Wewe Kuomba chuo ni mpaka mwakani,mwaka huu cdhani kama itawezekana.Kwa watu wa diploma kinacho matter sana ni Vyeti.Kama unavyo jua vyuo vyetu baada matokeo ya diploma semester ya mwisho kutoka,inachukua muda ku process vyeti.Mbona uko moto hvyooo. Subiri nasi wenzio tumalize diploma zetu tuombe wote
Sio lazima cheti wewe, acha kudanganya umma kwani umesikia ajira hii wahitaji hadi vyetiWewe Kuomba chuo ni mpaka mwakani,mwaka huu cdhani kama itawezekana.Kwa watu wa diploma kinacho matter sana ni Vyeti.Kama unavyo jua vyuo vyetu baada matokeo ya diploma semester ya mwisho kutoka,inachukua muda ku process vyeti.
Pamoja kiongoziAVN-Award Verification Number,hata kwenye simu ndio unaomba..AVN unapata pind pale chuo chako husika kikituma matokeo yote .it means from semester 1 to 6..ukiwa supplimentary huwez pata avn mpake ufanye kuclear sup..AVN inakusaidia kuapply degree..so matokeo huanza kutumwa sem 1 and 2,then followed by 3 and 4,then 5 and 6 ..kama status ikiwa confirmed kwa matokeo yote utaaply AVN nacte..unalipia elf 20 then unapata
Siyo elfu 2o ni elfu 10 tuAVN-Award Verification Number,hata kwenye simu ndio unaomba..AVN unapata pind pale chuo chako husika kikituma matokeo yote .it means from semester 1 to 6..ukiwa supplimentary huwez pata avn mpake ufanye kuclear sup..AVN inakusaidia kuapply degree..so matokeo huanza kutumwa sem 1 and 2,then followed by 3 and 4,then 5 and 6 ..kama status ikiwa confirmed kwa matokeo yote utaaply AVN nacte..unalipia elf 20 then unapata
Nikwel kabisa siyo lazima chet ni transcript tu mzee coz mwaka jana mm niliomba chuo na maatokeo na nikapata na hadi mkopoSio lazima cheti wewe, acha kudanganya umma kwani umesikia ajira hii wahitaji hadi vyeti
Tena kuna watu wameomba hata ajira kwa transcripts na wakaitwa interview sembuse maombi ya chuo..
Tulizana.
Kinacho itajika ni transcript ya natokeo inabidi uwe umeiweka katika pdf then unaiaplod sehemu usika kipindi unajaza details utaiyona iyo sehemuWewe Kuomba chuo ni mpaka mwakani,mwaka huu cdhani kama itawezekana.Kwa watu wa diploma kinacho matter sana ni Vyeti.Kama unavyo jua vyuo vyetu baada matokeo ya diploma semester ya mwisho kutoka,inachukua muda ku process vyeti.