Msaada kuhusu askari/ polisi mwanajeshi mjamzito

Msaada kuhusu askari/ polisi mwanajeshi mjamzito

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,277
Reaction score
1,121
katika miaka yote niliyoishi hapa chini ya jua sijawahi kubahatika kumuona askari/mwanajeshi wa kike (ndani ya sare) akiwa na tumbo la ujauzito hivi hi imekaaje kaaje ni kwamba wakipata ujauzito wanapewa likizo au huwa hawapati ujauzito kabisa?
 
Kwani Mimba inakuja ghafla " over night " ? Mimba ikiwa na miezi miwili tu wanakula maternity mpaka ajifungue
 
@illegal immigrant...lengo lako hasa ni nini mkuu!!!
 
Nadhani ikifikisha miezi mitatu hadi minne (ambapo unaweza usigundue kirahisi)wanachukua likizo na likizo yao ya kawaida huwa ni miezi mitatu.Kwa hiyo akijifungua tena hupewa maternity leave ambayo huwa miezi mitatu tena jumla inakuwa miezi 6.Kama ana bosi mwelewa anaweza akawa anampangia kazi nyepesi wakati wa kunyonyesha ili anyonyeshe vizuri.Ni mawazo yangu tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
katika miaka yote niliyoishi hapa chini ya jua sijawahi kubahatika kumuona askari/mwanajeshi wa kike (ndani ya sare) akiwa na tumbo la ujauzito hivi hi imekaaje kaaje ni kwamba wakipata ujauzito wanapewa likizo au huwa hawapati ujauzito kabisa?

...kombat za jeshi hazina mfuko wa kuwekea mimba OVA!...
 
Daah.kuna wadau wanafurahisha humu.kweli ni sehemu ya kuondoa stress. Hapo mdau umeulizia wakiwa na sare ni wazi kabisa wakiwa wajawazito wanaruhusiwa kuto kuvaa sare na wanapewa kazi za kiofisi na nyepesi.
 
Hahaaaa hutakaa umuone MTM akiwa na mimba. Neva on earth
 
katika miaka yote niliyoishi hapa chini ya jua sijawahi kubahatika kumuona askari/mwanajeshi wa kike (ndani ya sare) akiwa na tumbo la ujauzito hivi hi imekaaje kaaje ni kwamba wakipata ujauzito wanapewa likizo au huwa hawapati ujauzito kabisa?
Kazi ya kuzaa walishamaliza kabla ya kuingia utasitukia tu wakimaliza miaka sita ya mizengwe wanapanga nyumba na familia wanayo kubwa tu; siku hizi magumashi ni mengi ya kutisha
 
Back
Top Bottom