Dawa zipo za kupoza maumivu kama vile kundi la NSAIDS linafaa sana kwa kupoza maumivu.
Kuondoa tatizo kabisa kabisa, tunaanzaga na chanzo cha tatizo. Ambayo yamo kwa mfano
Cushing syndrome
Diabetes mellitus
Acromegaly na zingine nyingi ambazo hiziukizitibu zikaishia na arthritis nayo pia huisha na mgonjwa na anapona. Ikishindikana na kuondoa mzizi wa tatizo ambayo ni magonjwa yanayoathiri sehemu nyingi mwilini(Systemic diseases) mgonjwa analazikika kuwa mtumiaji wa dawa za maumivu maisha yake. Hivyo ni muhimu kufika hospitali kwa uchunguzi zaidi ili kuondoa chanzo cha tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.