Msaada kuhusu aptitude tests

Msaada kuhusu aptitude tests

Albizo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
284
Reaction score
208
nimetumiwa sms na kampuni moja ya auditing firm nikafanye aptitude test,,,naomba msaada wenu kwa ambae anauzoefu na hizo test na ni maswali gani wanapendelea kuuliza,,,asanteni
 
Aptitude tests ni test za kupima uwezo wako wa kuelewa,kufanya ktu,n.k aptitude refers to the natural/innate ability a person have.....
Kwa uelew wangu ndo ivo
 
nimetumiwa sms na kampuni moja ya auditing firm nikafanye aptitude test,,,naomba msaada wenu kwa ambae anauzoefu na hizo test na ni maswali gani wanapendelea kuuliza,,,asanteni

Hizo tests zinapima uwezo wako na uelewa wako ktk nyanda mbalimbali, inategemea na hao waandaaji wa hizo tests zaidi, ila tegemea vimaswali vya kukufikirisha fasta fasta ili ujibu swali, na maswali mengine yanayohusu career yako, huwa zinachanganya maswali mengi mengi tu ili kukupima uwezo ktk maeneo mbalimbali kulingangana na kile ambacho wanatarajia kukupa.

Ingia google utaona zipo nyingi tu, ila usikariri hayo maswali utaumia (yapitie tu upate picha fulani), we unachotakiwa ni kuwa na uelewa kwa ujumla career yako inataka nini na kujiweka tayali kwa mtihani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom