Msaada kuhusu application ya kodi

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Salama wanajukwaa,
Naomba mwenye uhafamu na hili, nimeinstall Application ya Kodi kwenye computer na inafanya kazi vizuri, naweza kuangalia TV channels kadhaa ikiwepo aljazeera na BBC, je kuna uwezekano wa kuongeza channel ya supersport cnn na sky news? Manake kwenye lists hazipo au kuna namna ya kuadd na ni ipi?
Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…