Msaada kuhusu application katika chuo kikuu cha Bugando Mwanza

bab N

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
75
Reaction score
35
Wadau nimemuombea mdogo wangu chuo kikuu cha Bugando lakini nikawa sijakamilisha kitu kidigo sikumaliza, nikata kuendelea tena siku ya pili lakini cha kushangaza wiki ya pili hii system yao haifunguki.

Je halii hii n kwa mimi tu au wote ?? Naomben mnisaidie maana tarehe 30 inakaribia na bado sijakamilisha kuomba na cha aajabu nikiwapigia simu hawapokei kabisa ,

Je wanafanya kusudi au vipi mbona siwasomi Bugando ?????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo kama bugando kina competition sana...kwanza hawana mda wa kusikiliza shida za watu...pili mda ukifika wenyewe kazi yao ni kuchagua wenye dvsn one...wakishamaliza na kama nafasi zimejaa wengine wote mnatupwa kule...kama idadi haijakamilika wanaingia waliopata dvsn 2 mpak 3...na wanaangalia maombi yaliyokamilika...kama umebug sehemu subiri neema ya Mungu au kama vip ibuka moja kwa moja pale chuoni
 
Ishu so division 1 Mkuu ,ishu wamefunga dirisha lao LA usajili before deadline wiki 3 before na watu washalipa kma wana jeuri hizo c wangesema mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…