Unasubmit kwa kifaa gani simu au computer?Habari ndugu ,
Nahitaji msaada wenu...ajira portal kila nikijaribu kusubmit yaani kuclick ile tick kwenye declaration inakataa yani HAITICK nashndwa kusubmit CV je changamoto itakuwa ni nini nakosea wapi?? Nahitaji msaada
Asante.
Natumia computerUnasubmit kwa kifaa gani simu au computer?
Wamechezea backbone πNatumia computer
Sijakuelewa maana yake nini backboneWamechezea backbone π
Wamechezea mkongaSijakuelewa maana yake nini backbone
Mkonga?? Unaamanisha system ndugu?Wamechezea mkonga
Ttcl fiberMkonga?? Unaamanisha system ndugu?