hiyo medem aina gani mkuu?
jaribu ku uninstall kisha install tena tumia web browser kama google chrome ila isiwe explorer
Pole, hilo tatizo na mm lishanipata, wasiliana na airtel watakuwekea software nyingine, maana ZTE zinachagua comp sometime.otherwise inabid utafte huauwei ndo inakua a software ya moja kwa moja ambayo mara nyingi haichagui computor
tatizo litakuwa kwenye sim card hiyo, kwani kila sim card inapokuwa mpya inakuwa haija activetiwa kweny internet na inazungua ku connect wasiliana na customer care 100 waiactivate
fungua exproler, click on tools, inteqnet options, connection, click never dial a connection