Msaada kuhusu actuarial science

hooligan01

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
662
525
Mimi ni mhitimu wa kidato cha 6 mwaka huu na nmesoma PCM. Baada ya matokeo kutoka, nimefaulu vizuri hasa katika somo la mathematics. Kwa kipindi hiki nimekuwa nikishauriwa sana niende kozi ya actuarial chuo.

Tatizo ninaloliogopa ni kuwa sijapata maelezo mazuri kuhusiana na hii kozi maana naogopa naweza nikajaza then nikaja kujilaumu mbeleni. Basi ndugu zangu kwa yeyote anayejua kazi za hii kozi after chuo pamoja na mishahara yake au ushauri wowote kwangu kuhusiana na hii faculty naomba anishauri.

Ahsanteni wandugu, natumai mmenielewa
 
siifahamu vizuri hio kozi ila msaada mzuri ni google.. ingia google andika acturial science utapata maelezo kuhusiana na hio kozi
 
Hii kozi ipo katika ushindani mkubwa sasa hivi, halafu.inalipa ukimaliza hukai nyumbani pension funds, banks, insurance firms, etc wanawahitaji waliosoma hii course, na mshahara ni mkubwa sana
 
Ni faculty nzuri and it was one of my priority course before TCU guidebook haijatoka,ila ilivyotoka nikaona ni non priority na inahitaji watu 20 tu ikabidi niieke yapili kwenye priority courses japo ninaufaulu mzuri sana kwenye Adv/Maths...Ina ushindani sana mm nlikua mtu wa 175 kuapply
 
Kuna mtu niliwahi mshauri hii programme akakataa na kwenda computer science ila mi nadhani actuarial ni nzuri sna kwa sasa hasa kama umefaulu vema kwa pcm pgm na egm.
Kila la kheri ndani ya udsm(those beautiful moments)
 
Back
Top Bottom