hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Mimi ni mhitimu wa kidato cha 6 mwaka huu na nmesoma PCM. Baada ya matokeo kutoka, nimefaulu vizuri hasa katika somo la mathematics. Kwa kipindi hiki nimekuwa nikishauriwa sana niende kozi ya actuarial chuo.
Tatizo ninaloliogopa ni kuwa sijapata maelezo mazuri kuhusiana na hii kozi maana naogopa naweza nikajaza then nikaja kujilaumu mbeleni. Basi ndugu zangu kwa yeyote anayejua kazi za hii kozi after chuo pamoja na mishahara yake au ushauri wowote kwangu kuhusiana na hii faculty naomba anishauri.
Ahsanteni wandugu, natumai mmenielewa