De Rama Msirikale
Member
- Nov 30, 2020
- 31
- 15
Nilikuwa na account yangu ya Facebook nimeiunganisha na page yangu, kuna kupindi nikapoteza device niliyokuwa natumia hivyo nikasahau password yangu na hata namba niliyofungulia kwa usajiti wa account hiyo imeshapotea.
Nipo hapa jukwaani ili kuomba msada wa kurecover acc yangu kwa wabobezi wa IT na mtandao wanisaidie kwa hili jambo.
Nipo hapa jukwaani ili kuomba msada wa kurecover acc yangu kwa wabobezi wa IT na mtandao wanisaidie kwa hili jambo.