Nokia N70, ingia hapa ( Security Master-code calculator for Nokia mobile phones ) weka imei ya simu yako ili uGenerate mastercode ya simu yako,,itumie hiyo code ita overide code iliyopo kwenye simu alafu utafanikia kuFormat kwa *#7370# ..
Zma simu yako ukiwa umeizima hvyo hvyo bonyeza button namba 3, nyota (*) na button ya kupokelea simu kisha washa ukiwa umezishilia bila kuziachia na hyo button ya kuwashia. Achia tu pale utakapoona mikono ile inayokutana.
Cm itakuwa ime format.
Wadau naombeni mnisaidie na mimi jinsi ya ku flash simu ya mama watoto Nokia 202 ilizima ghafla mpaka sasa haijawaka na leo ni siku ya tatu wakati alipokua anajaribu ku-configure internet