Kilele9 JF-Expert Member Joined Jun 1, 2017 Posts 1,452 Reaction score 1,101 Jun 18, 2017 #1 Wakuu habari za leo. Ninaomba msaada kwa wataalamu wa haya mambo mliopo humu jamvini mnisadie kunfahamisha jinsi ya kuflash/unlock HSPA USB Stick (modem/mobile broadband) aina ZTE
Wakuu habari za leo. Ninaomba msaada kwa wataalamu wa haya mambo mliopo humu jamvini mnisadie kunfahamisha jinsi ya kuflash/unlock HSPA USB Stick (modem/mobile broadband) aina ZTE