msaada kuflash iphone 5

msaada kuflash iphone 5

Kesi aina hii zinaletwa nyingi na hukosa solution kwa sababu iko locked na hakuna awezae kuifungua ila mmiliki halali. 🍊
 
Mie iphone 4s yangu ina wiki tangu izimike kila nikicharge haingizi moto,haya masimu sijui ni janga jingine...nimeamua kujichukulia ka simu ka 20000 tu shida ya nini......
 
Back
Top Bottom