Msaada kudownload video kwa kutumia tecno p5

Msaada kudownload video kwa kutumia tecno p5

leez salu

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
35
Reaction score
8
msaada jinsi ya kudownload video toka youtube.nmesoma post nmeambiwa tubemate.nmedownload inashindikana.sijui ni aina ya simu ama uwezo mdogo.
 
msaada jinsi ya kudownload video toka youtube.nmesoma post nmeambiwa tubemate.nmedownload inashindikana.sijui ni aina ya simu ama uwezo mdogo.
tumia "videoder" igoogle hiyo kwa kutumia ucbrowser(operamini itakusumbua) then utaidownload, nahisi hiyo videoder playstore wameshaiondoa. Videoder ndio best app tena simple mno kutumia kudownloadia videos za youtube. Tena ukisearch video inaleta video results kibao(hapa ndipo ninapoipendea)
NB. hakikisha videoder utakayoidownload iwe ina background nyeupe, hizo zenye background nyeusi au nyingine ni miyayusho achana nazo.
 
au kwa njia nyingine unaweza kudownload kwa kutumia browser eg. operamini&uc browser kama ifuatavyo:
1.ingia youtube kwa kutumia hizo browser
2.search video unayoitaka
3.nenda kwenye link ya hiyo video uliyoisearch(ipo kwa juu utaikuta imeandikwa"m.youtobe.com/....................... ..)
4.edit kama hivi hiyo link ya hiyo video"futa hiyo m. katika hiyo link na uandike ss yani isomeke ssyoutube. com/................ hlf utaisearch upya hii link uliyoedit.
5.Itakuja page nyingine mpya ambayo itakuletea option ya quality ya video unayoitaka mfano kama unataka mp4 au 3gp
6.Select quality unayoitaka then itajidownload.

-Mimi mwenyewe natumia tecno p5. natumia videoder na hiyo trick kudownload youtube videos kirahisi na kama una swali lolote kuhusu tecno p5 you are warmly welcome.
 
tumia "videoder" igoogle hiyo kwa kutumia ucbrowser(operamini itakusumbua) then utaidownload, nahisi hiyo videoder playstore wameshaiondoa. Videoder ndio best app tena simple mno kutumia kudownloadia videos za youtube. Tena ukisearch video inaleta video results kibao(hapa ndipo ninapoipendea)
NB. hakikisha videoder utakayoidownload iwe ina background nyeupe, hizo zenye background nyeusi au nyingine ni miyayusho achana nazo.


Kama alivyosema mdau hakikisha iwe kama hivi ukishaisachi google

Picha ya pili chagua yenye version 7
 

Attachments

  • 1406578472739.jpg
    1406578472739.jpg
    93.8 KB · Views: 204
  • 1406578500384.jpg
    1406578500384.jpg
    87.8 KB · Views: 170
Tubemate itafute kwakutumia operamin browser. Au download app moja inaitwa moboginie mwisho wa matatizo.
 
Back
Top Bottom