Wakuu kuna video nyingi nzuri nawekewa na jamaa zangu kwenye facebook. Nataka nizidownload lakini sioni hiyo option. Naona tu option ya ku-share. Msaada jamani anayejua nafanyaje hapa.
kama unatumia Mozilla-Firefox Kama Web Browser yako,unaweza install add-on inaitwa "Savefrom.net Helper" ambayo itakusaidia ku download video yoyote kwa haraka bila software yoyote.....