Msaada kudawnload àudio kwenye online radio

Msaada kudawnload àudio kwenye online radio

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,691
Reaction score
14,379
Wakuu kuna audio ipo kwenye radio ya Pangani Fm kuhusu historia ya Wanyiramba
Nimejaribu ujanja wote nimekwama kudawnload audio hiyo
Inataka ulog in ndio udownload lakini hakuna mahali pa kuregister ili uweze kulog ini
Nimejaribu baathi ya app zinagoma

Msaada wenu please, naambatanisha na link ya website husika

Mila na Tamaduni za kabila la Wanyiramba – Community Radio Portal
 
Back
Top Bottom