M mkwafi Member Sep 1, 2011 10 1 Oct 26, 2012 #1 kwa wale wadau wa games naomba mwenye knowledge ya kubadilisha language kwenye hyo game pls nimejaribu kuchek kwa bwana google hanipi majibu useful, ka una idea ya hyo ki2 pls say something tanx in advance
kwa wale wadau wa games naomba mwenye knowledge ya kubadilisha language kwenye hyo game pls nimejaribu kuchek kwa bwana google hanipi majibu useful, ka una idea ya hyo ki2 pls say something tanx in advance