Nisaidieni simu yangu ya aina ya Samsung Note 2, ni lugha ya kichina katika kuangalia salio au huduma ya Mpesa au tigo pesa au airtel money mwenye kujua ninaomba msaada jinsi ya kuondoa tatizo hilo au how to root it help help.