Msaada kuapply mkopo HESLB

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,295
5,396
Habari,

Naomba msaada kidogo wanajukwaa,

Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari. Je, natakiwa niipeleke Rita kuhakikiwa? au naituma heslb moja kwa moja mda wa kuapply mkopo?

Msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom