Natumia Camera ya App vile vle cm yng ina uwezo mkubw, Samsung Galaxy Mega tena bonge la sim ht nkichukua pic tok kwa mwngnr ninapotak kuapload tu ina decrease quality inakuw na quality tofaut na original photo,katafute kamera HD sio hiyo ya simu yako
Ok thanks.. Ngoj nijarib ntarud na majibtembelea hapa
Facebook Photos & Images Size Guide - 2017
kama hujaelewa niambie unataka ku upload picha ya nini fb nikufafanulie, kuna picha nyingi kama cover photo, timeline photo, profile picture etc
fb wanapunguza quality na wanacontrol ukubwa wa picha hivyo ni vyema kujua dimension kabla huja upload