msaada ku-upgrade android os from ICS to Jelly bean

possibly mkuu ila kwangu mimi compatibility ilipotea nikawa sifanyi kitu slow kupita kiasi. ikabidi nianze upya

nimeweka official jelly bean kwa kutumia odin nikashangaa hakuna kilichopotea

iko fasta, na imekuwa poa zaidi hamna tena kale ka E saa hizi inatokea H+ au 3G

imevutia sana

chaji inakaa zaidi kuliko mwanzo
 
mkuu ina mana mtu ukiwa na jelly bean utakuwa unapata 3g mahali popote??? mbali na hyo ni faida gani nyingne nnazozipata nkiwa na jelly bean???
 
mkui kama sijakuelewa vile

.mbona nikicheki ktk gsmarena inasema kuwa hii simu naweza kuiupgrade mpaka ktk jelly bean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…