Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nilinunua router ya halotel kipindi wanaanza huduma zao, mtandao ulikua na speed na package zao zilikua poa sana.
Kwa sasa nao wamekua slow sana na package zao zimepanda sana. Naomba kuelewa kama kuna namna naweza kuifanya router kuwa universal.
Nimejaribu kutumia baadhi ya software kama DC UNLOCKER, MIN UNLOCKER, FMC UNLOCKER ila nimeshindwa.