mkuu usihangaike sababu hizo software hata ukipata full version na password za siku hizi itachukua miaka mpaka kuweza ku guess hio password. ni file la nini? si utafute tu alternative yake internet?
na kwa experience yangu mara nyingi mafile yanayofungwa hivyo inakuwa ni scam tu.